NGUZO KUU 8 ZA MAFANIKO KATIKA JAMBO LOLOTE
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIG-46T8m0kJAx5MeF-Ur-iOQ3tMn1UBmuqkn_ctqimIHyBpgGYX1IwvToHhqP1dTvV9MSpNLrAYSiUvLIaT6qS33CfUANPO5AvfygC6wQz_mRWNFW7VcBM891QGNwr95E2wcb-1Kw_MI/s320/PhotoCollage_1587523088854.jpg)
MAFANIKO YAKO NI FURAHA YAKO N a Prof. Muyungi & Monica Mathias "We are born for winning, never for losing" Mohammed Dewij . Hakuna binadamu Yeyote aliyeko duniani kwa bahati mbaya! Kila mtu yupo kwa sababu maalumu tofauti na mwingine ndio maana kila mtu ana finger print" ya kitofauti kabisa! Na hivyo hii inaashiria wewe una lengo lako la kuwepo Dunian tofauti kabisa na mtu mwingine yeyote yule. (Ni kwa namna gani unauishi utofauti wako? utofauti wako ni nini? una uhakika gani katika hilo? usiteseke nitakufunulia yote hapa, umezaliwa kwa ajili ya ushindi. Mafanikio ni hatua ambayo mtu huwa amefikia ukamilifu wa natarajio yake katika jambo fulani, ambapo hatua hii umwezesha kuwa na furaha na ukamilifu kimwonekano (physically) na kifikra (mentally) na Kiroho (spiritually). Duniani kila mtu anataka kufanikiwakufurahi na hivyo kila mtu hujishughulisha katika jambo flani ili aweze kufanikiwa na kupata furaha. Watu wengi wameshindwa kufikia mafaniko yao kwa...