Posts

Showing posts from January 19, 2024

ACADEMY MEMBERSHIP ONLINE APPLICATION For VISION ENTREPRENEURSHIP ACADEMY

Image
By Prof. Muyungi Visiontanzania Entrepreneurship Academy is an entrepreneurial platform that deals with Creative imagination, Business Plan methodologies, Business Capital structuring, Business idea formulation, implementations and funding, Leadership skills, Managerial Economics, Business Management, Strategic Management and planning, Computer skills Plus other more. Click below to apply for membership Now!! CLICK HERE TO APPLY Kindly to apply for membership, fill the online form with your correct information   ♂️MENU 🔴 HOME PAGE 🔴  ENTREPRENEURIAL POSTS 🔴 CONSTITUTION 🔴 ONLINE APPLICATION 🔴 UPDATES 🔴 PHILOSOPHY 🔴 PHOTOS 🔴 VIDEOS 🔴 CONTACT US

KIJANA MIAKA 18-35 USIKOSE HII

Image
Read English ¶¬View  All computer shortcuts  ⏪ MAMBO MUHIMU AMBAYO KIJANA ANATAKIWA KUFANYA N a Prof. Muyungi & Monica Mathias Katika maisha ya binadamu hakuna kipindi kigumu sana kama kipindi cha miaka 20 mpaka 30 kipindi hiki ndio kipindi chenye utata, hapa kijana anaweza kujenga maisha yake au kuyabomoa na walio wengi wanaanguka hapa, lakini pia wengi huanza kufanikiwa kuanzia hapa wote kutegemeana uwezo wao na maono yao yalivyo. ikumbukwe katika miaka 20-30 kijana  ndipo anakuwa anamaliza elimu ya sekondari, ndipo ana anakuwa chuo kikuu , ndipo anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi , ndipo anahitimu chuo kikuu, ndipo anaangaika kutafuta ajira , ndipo ana kuwa na mchumba pia ndio kipindi wengine huanza maisha ya kujitegemea kuacha familia za wazazi, wengine hufunga ndoa hapa, pia hiki ni kipindi kijana anaanza kutegemewa na familia ya wazazi wake na jamii. Kwakweli kipindi hiki sio cha mchezo ni kipindi cha kutumia akili nyingi na ushauri mwingi. Wanao ki...