FUNZO KUU LA KUFANIKIWA ATOA JACK MA

BILIONEA MBUNIFU ZAIDI WA KICHINA N a Prof. Muyungi & Monica Mathias ➻ Jack Ma hakuwa mtu mwenye akili nyingi sana , alikataliwa alidharaulika, alichekwa sana katika maisha yake ya mwanzoni, lakini leo hii ukiwa unahesabu matajiri wakubwa Duniani ni kosa la jinai kumsahau Jack Ma bila shaka wewe kama ni mtumiaji wa internet basi wewe sio mgeni kusikia neno 'ALIBABA' Leo hii ni moja ya makampuni 20 makubwa sana Duniani, mwanzilishi na mmiliki ni Jack Ma Kumbuka China ina zaidi ya Raia Bilion 1.3 yaani 1,300,000,000 na Jack Ma ndo Tajiri namba moja hapo sasa ujue alitumia ubunifu kiasi gani............ ⟴ Visiontanzania Imekuletea historia ya Bilionea huyu ili kukuonyesha mtu anayetafuta kufanikiwa maishani namna gani inabidi awe, tukiwa na maana utajiri / mafanikio ya kweli hayaji kwa bahati nasibu, 🔜Karibu sana tuna matumaini utajifunza kitu. Kama unataka kufanikiwa huna budi kufatilia historia za watu waliofanikiwa. ௫ ...