Posts

Showing posts from May 28, 2020

NJIA RAHISI YA KUISHI NDOTO ZAKO

Image
ISHI NDOTO ZAKO LEO N a Prof. Muyungi & Monica Mathias Watu wote Duniani uwa na mawazo tofauti tofauti, na hivyo watu huwa na matamanio ya kumiliki vitu fulani fulani, au kuwa katika vyeo na hali fulani, mfano mtu anaweza kuwa na matamanio ya kuwa mwanamziki mkubwa, kuwa kio ngozi mkubwa, kumpata mchumba mwema, kumiliki magari ya kifahari, kuwa na nyumba nzuri, kuwa saidia watu wasiojiweza, kuwa na mpenzi mwaminifu n.k  chini ya 15% ya watu wote duniani, ndio walioweza kuwa na matamanio ya vitu mbali mbali vikubwa na hatimaye wakayafikia matamanio yao yahani NDOTO zao kwa wakati sahihi, ila watu walio wengi duniani matamanio yao huyafikia kwa taabu sana na wengi wao huishia katika matamanio tu, kwa sababu ya kushindwa kujua nini la kufanya na namna gani ya kufanya na wakati gani, na hivyo hiyo kuwa sababu ya watu wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Ndugu, Visiontanzania   imekuletea njia kuu tatu ambazo ukiweza kuziishi utaweza kufikia ndoto zako mapema sana kw...