Kubadilika siri ya kufanikiwa
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_tpdlK113zVUimxZIts2mClPpW1JnwGO6aR9ES4GhoOamP6PDDMa70htsxca4iSbYWliwfGyBvb7Q95getfA75mdegbwgKUFvkJw03JGsleMoY_XLE187HGFgiaN5DYBI760TYJTiy1HoyAOXHu3NRQPurZIAccT5YGHiZqBETYxLQut_PGZqiP7m6XU-/s320/Visiontanzania%20Official%20New%20logo.png)
KUBADILIKA NI KUFANIKIWA N a Prof. Muyungi " Who ever is not ready to change, can never bring any positive change" ni kauli aliyoitoa Rais wa Marekani Barack Obama. Ukienda mtaani unauliza nini maana ya " Kubadilika " u tapata tafsiri kibao zenye mantiki inayaonyesha kuacha jambo moja na kuanza lingine, ni mara kadhaa utasikia kauli hizi "mwanangu siku hizi umebadilika.....", mfanyakazi amebadilika...", nimebadilisha...'' Hivyo sasa kubadilika kuna uhusiano wa moja kwa Moja kwenye kuachana na jambo moja na kuanza kushughulikia lingine. Kubadilika: Ni kitendo cha mtu Kuwa na mtazamo tofauti katika jambo ambalo lilionekana la maana sana, na kuwa na Mtazamo chanya zaidi. Kuna aina mbili za mabadiliko : 1. Mabadiliko Chanya : hiki ni kitendo cha mtu kuacha jambo baya na kuanzakufanya jambo jema au ni kitendo cha mtu kuacha jambo jema ambalo lina faida kidogo na kufanya jambo lenye manufaa zaidi na faida kubwa. Mfano Mfano Kuacha...